Simba 1-0 Azam FC | Simba yatwaa ubingwa kombe la Mapinduzi

Simba 1-0 Azam FC | Simba yatwaa ubingwa kombe la Mapinduzi

jamaa baada ya kuona kadi ametoka nduki huyo kama sio yeye [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Pokea Taarifa Ya Muda.
Mabingwa mara 4 Mfululizo Tanzania bara Bado anaongoza Kwa 1, Dk ya 71
 
Wenyewe wamesema shobo hawataki naona mshaanza kujitokeza tangu goli lifungwe
FB_IMG_16420990068399117.jpg
 
Azam wanacheza faulo za kijinga sana, naona ile penalty imewatoa mchezoni.
 
Back
Top Bottom