UtdProfile_
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 255
- 314
Ongera sanaaa watani Kwa kubebwaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama n Arsenal we kalale tu aisee utapata matokeo kesho acha kuharibu furaha yakoNasubiri Arsenal vs Liverpool hapa.
Tuliza fuvu **** ww ..Mbna unatanua pua sasaaa ndg angu
Sasa wewe ukifa sisi tuna hasara gani? watu wengine bwana[emoji23]Sawaaa lkin Mimi nitabishia kuhusu hile penalty mpka nakufaa
karibu kwa wazee wa vikombe ukiwa na sumaku ya makombe hupati shida yanakuja tuuUnasherekea ushindi wa mchongo
Acha kutanua pua relax ubingwa umebeba sasa mbna unatanua puaTuliza fuvu **** ww ..
Kama Manula angeushika mpira moja kwa moja kwa mikono ndiyo ingekuwa foul.Chaliifrancisco Ule utata ambao hata mimi nilikuambia sijui sababu ya refa kupiga filimbi ni huu
View attachment 2079857
We umebebwaaa , hiko kiburi unatoa wapSasa wewe ukifa sisi tuna hasara gani? watu wengine bwana[emoji23]
Yani stress zako utuletee sisi?
Sawa natanua pua, wewe unatanua nini ?? [emoji23]Acha kutanua pua relax ubingwa umebeba sasa mbna unatanua pua
Tunachukua Kombe Bila Kufungwaaaaa
😂😂😂😂😂😂🤫🤫🤫🤫🤫🤫Sawa natanua pua, wewe unatanua nini ?? [emoji23]