Simba 1-0 Prisons | Ligi kuu bara | Benjamin Mkapa

Hawa marefa wa leo sijui wana alosto ya wapi

Wachezaji wanacheza offside na hakuna action yeyote wanayoichukua sijajua kwakua mipira haina madhara au namna gani
 
Timu imechanganya kocha anaivuruga. Bocco anaenda kufanya nini humo.P.mbvu
 
Simba wameanza kuchangamka yaweza kupata goli aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…