Simba 1-0 Prisons | Ligi kuu bara | Benjamin Mkapa

Simba 1-0 Prisons | Ligi kuu bara | Benjamin Mkapa

Hawa marefa wa leo sijui wana alosto ya wapi

Wachezaji wanacheza offside na hakuna action yeyote wanayoichukua sijajua kwakua mipira haina madhara au namna gani
 
Timu imechanganya kocha anaivuruga. Bocco anaenda kufanya nini humo.P.mbvu
 
Back
Top Bottom