Wana Simba tukubali tu timu yetu safar hii Haina ubora tunaoutaka, Ni timu ya kawaida Sana ,Haina utofaut na Namungo,Mbeya city na timu zingine.
Timu zinazocheza kikubwa msimu huu Ni Yanga kidogo inafuata Azam Ila Simba big no.
Kwanza hatuna kikosi Cha Kwanza ,kila mechi kunakuwa na mabadiriko ya karibia wachezaji watano au wanne.
Pia Matola aangalie kwa jicho la kipekee Mimi naamin ndie kirusi pale Simba pia anaonekana kuwagawa wachezaji wa kigeni na wazawa.
Kuna namna ipo pale kwenye benchi la ufundi.
Alafu huyo Mugalu why wasivunje tu mkataba wake kwa makubaliano ya pande zote mbili? Maana naona anakula mshahara wa bure kabisa.