Simba 1-0 Prisons | Ligi kuu bara | Benjamin Mkapa

Simba 1-0 Prisons | Ligi kuu bara | Benjamin Mkapa

Hii ndio Simba ambayo wenyewe wanaamini inakwenda kutwaa ubingwa!!!
 
Hivi wewe sio ambaye azam alikupiga mishale tisa? Acha kuwasha aisee [emoji16] [emoji16]
Wote chifu. Azam wanafunga Prison hili 4-0 Halafu sisi tunashinda kwa mbeleko sio poa.
 
Mpira unakosa ladha kabisa. Mapenati penati tu, mara goli halali kukataliwa.

Kwani ni lazima simba na yanga zishinde ndo ligi ivutie? Bora kufuatilia tu mwisho wa msimu nani bingwa then basi kuliko hivi. Yanga na Simba zinabebwa sana ni UPUMBAVU.
Ila penati ile mi mwenyewe mwanzo nilijua tumebebwa mpaka nika wish bora tukose

Ila kilichokuja kunibadili mawazo ni ile view iliyokuja kuonesha kutoka upande wa nyuma ya goli, jamaa aliunawa mpira bila ubishi

Siwalaumu wanaosema ile penati ya kubebwa kwasababu wanatoa maoni kupitia ile replay ya kwanza na wapo wengine hawajaangalia mpira wanafuatilia huu uzi kama updates nao wana piga kelele kua penati ya mchongo kwasababu ya kusikiliza maoni ya wadau kutoka kundi hilo lililo jaji penati kwa kuangalia view ya upande mmoja
 
Prison wamepewa mimba lakini kichefuchefu wanapata utopolo
 
[emoji1]
Screenshot_20220203-215450.jpg
 
Wana Simba tukubali tu timu yetu safar hii Haina ubora tunaoutaka, Ni timu ya kawaida Sana ,Haina utofaut na Namungo,Mbeya city na timu zingine.
Timu zinazocheza kikubwa msimu huu Ni Yanga kidogo inafuata Azam Ila Simba big no.
Kwanza hatuna kikosi Cha Kwanza ,kila mechi kunakuwa na mabadiriko ya karibia wachezaji watano au wanne.
Pia Matola aangalie kwa jicho la kipekee Mimi naamin ndie kirusi pale Simba pia anaonekana kuwagawa wachezaji wa kigeni na wazawa.

Kuna namna ipo pale kwenye benchi la ufundi.
Alafu huyo Mugalu why wasivunje tu mkataba wake kwa makubaliano ya pande zote mbili? Maana naona anakula mshahara wa bure kabisa.
 
Mpira wa kibongo na hekaya zake!!

Timu ndogo almost zinakua desparated na ma referees.refer game ya Namungo vs Yanga,Geita Gold vs Simba na game ya leo.

Na ndio maana mpira wa hii nchi hauwezi kuendelea kamwe.

Haiwezakani referee aingie na matokeo yake uwanjani..
 
Ni upuuzi kusema Ile ni penalty, huitaji engo yoyote Ili kuthibitisha na alipo Kaa refa ndio ngumu kabisa kusema ni penalty labda msaidizi wake tungesema yeye msaidizi aliona. Yotekwa yote ndio aina ya mpira tulio chagua Kama nchi.
 
Back
Top Bottom