Simba 1-0 Prisons | Ligi kuu bara | Benjamin Mkapa

Sioni ushindi kwa simba hii mechi.prison wamekaa nyuma sijui kwa maelekezo ya nani.kila timu ikicheza na simba inakaa nyuma.na simba hawana mipango kabisa ya kuvunja ngome ya timu za bongo.
Ni kosa kisheria kukaa nyuma

Simba nao wakae nyuma iwe ngoma draw
 
Kwani kocha wa leo si Matola jamani,mbona mnamlaumu Pablo?
 
Sakho anatakiwa kuingia ili akipata mipira akimbie katikati wamkate wapate foul lakin magoli ya kutengeneza ni magumu mno.hawa mabeki wakati hawatoki kwwnye 18.ina maana kwa sare hii prison anachukua ubingwa.
 
Sioni ushindi kwa simba hii mechi.prison wamekaa nyuma sijui kwa maelekezo ya nani.kila timu ikicheza na simba inakaa nyuma.na simba hawana mipango kabisa ya kuvunja ngome ya timu za bongo.
Kwa maelekezo ya GSM. Yaani nyie Makolo mwaka huu mbona mtanena kwa lugha. Kwa hiyo timu ikijilinda ni hujuma kwenu?
 
Yaani mwenyewe najiuliza hivyo hivyo, ni nini tatizo na juzi hapo Mo kasema kweli kuna matatizo namimi naanza kuamini sasa
Inaonekana kwenye kikao cha wazee walimthiaki mo
 
Itabiadi niachana na haya mapira kwa muda.

Tutapeana shida tu. [emoji848][emoji848][emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…