Ujinga zaidi ni pale kocha anapofanya sub dakika za 70Tatizo ni namna ya kufungua huo ukuta hapo ona watu 9 hadi 10 wote wapo golini Kwa namna hii timu inahitaji ubunifu zaidi
Kocha kafundisha Riali madruidi uyo ujueNakumbuka enzi ya Aussems, ilikuwa Simba akifungwa mechi moja au ku draw basi next game kocha atabadilisha mfumo, anaweza mpanga mchezaji mmoja juu ya mabeki ili kuongeza ulinzi, na Kennedy Juma alikuwa anatumika zaidi kwenye hili.
Lakini huyu kocha wetu wa sasa hajui kuiona hatari na kuifanyia kazi mapema, hizi counter wanazopiga hawa jamaa ni wazi anatakiwa mtu wa kusimama juu ya mabeki asipande, kazi yake iwe kuzima haya mashambulizi ya kushtukiza ya hawa jamaa, lakini naona kocha yupo tu, akili yake yote kushambulia, then tukifungwa aanze ku panic .
Karibu Yanga Mrembo,the home of happiness.huu Mwaka tutakoma tusipoumwa magonjwa ya moyo sijui
Ana uzee mwingiKagere naye sijui ana nini leo
Matola na Pablo wote akili zao zinafanana.Kwani kocha wa leo si Matola jamani,mbona mnamlaumu Pablo?
GSM kaacha kuwahonga timu pinzani zinazocheza na nyinyi?Sio katikati tu, timu inacheza hovyo. Hakuna mipango, ni kama kubahatisha bahatisha tu. No wonder timu haipati magoli.
Msema ukweli ni mpenzi wa MunguKama Simba tutaendelea kucheza hivi, naona Azam wana nafasi kubwa yakuchukua nafasi yetu ya pili hapo kwenye msimamo
Matatizo si yalikuwa yanajulikana tangu match ya kwanza ya ligi kuwa ni GSM anawahonga timu pinzani na mbaya zaidi akaja kuwa mzamini mwenza?Yaani mwenyewe najiuliza hivyo hivyo, ni nini tatizo na juzi hapo Mo kasema kweli kuna matatizo namimi naanza kuamini sasa
Anafundisha pira birianSijawahi muelewa anafundisha nini hata siku moja
Hilo nalo tatizo, wachezaji wana relax sana hata timu ikitangulia kufungwa, naona ustaa umejaa sana kwenye vichwa vyao, hawajui kulazimisha matokeo mechi nyingi wako slow wanadhani magoli yatakuja yenyewe tu.Simba wanatakiwa kuboresha kiungo cha kati alafu wasilazimishe sana kutaka kupita katikati wakati pamejaa.wapanue uwanja kutumia wingi za pembeni ili prison atanuke.bila kufanya hivyo hii mechi ushindi niwa kubahatisha.Alafu pia simba haina wachezaji aggresive kabisa.yaani timu inacheza kwakurelax kama ipo bonanza.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Prison tena ndio anachukua Ubingwa?Sakho anatakiwa kuingia ili akipata mipira akimbie katikati wamkate wapate foul lakin magoli ya kutengeneza ni magumu mno.hawa mabeki wakati hawatoki kwwnye 18.ina maana kwa sare hii prison anachukua ubingwa.
Unaumwa wewe, Boco anamzidi nani hapo uwanjani? Timu bora icheze nusu kuliko uyo jamaa kuingiahapa bila bocco kuingizwa, hatupati goli, kagere anaruka ruka tu
nakaziaUnaumwa wewe, Boco anamzidi nani hapo uwanjani? Timu bora icheze nusu kuliko uyo jamaa kuingia
Kama Simba tutaendelea kucheza hivi, naona Azam wana nafasi kubwa yakuchukua nafasi yetu ya pili hapo kwenye msimamo