Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
- Thread starter
- #141
Ujinga zaidi ni pale kocha anapofanya sub dakika za 70Tatizo ni namna ya kufungua huo ukuta hapo ona watu 9 hadi 10 wote wapo golini Kwa namna hii timu inahitaji ubunifu zaidi
Yaani anaamini kwa uzembe huu unaweza kurekebishika kwa kumshauri mchezaji huyo huyo aliyecheza hovyo abadilike, wakati benchi wapo mbadala wake wataoweza kufanya vizuri zaidi
Sometimes naona hata ni bora kuwapa nafasi wale madogo wa timu B wanaweza kujituma kwa nguvu zote ili mradi waonekane na wapewe dhamana ya kuchezea kikosi cha kwanza kwa siku zote
Usikute kikosi hiki kikicheza na kikosi B kinafungwa, who knows?