Ila penati ile mi mwenyewe mwanzo nilijua tumebebwa mpaka nika wish bora tukose
Ila kilichokuja kunibadili mawazo ni ile view iliyokuja kuonesha kutoka upande wa nyuma ya goli, jamaa aliunawa mpira bila ubishi
Siwalaumu wanaosema ile penati ya kubebwa kwasababu wanatoa maoni kupitia ile replay ya kwanza na wapo wengine hawajaangalia mpira wanafuatilia huu uzi kama updates nao wana piga kelele kua penati ya mchongo kwasababu ya kusikiliza maoni ya wadau kutoka kundi hilo lililo jaji penati kwa kuangalia view ya upande mmoja