debrakabra
Member
- Jun 1, 2015
- 88
- 30
Hongera Mnyama!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mapovu...!bidvest walichezesha kikosi cha watoto under 17....la sivyo Simba wangepigwa kipigo cha mbwa mwizi kama kile cha 7 bila
Wapinzani hawaishiwi la kuongea every daywatani wanasema juzi tulicheza na team iko mwishoni. sijui leo watasema Bidvest walichezesha team B. kama wenyewe walivyocheza na under 20.
Sent using Jamii Forums mobile app
watani wanasema juzi tulicheza na team iko mwishoni. sijui leo watasema Bidvest walichezesha team B. kama wenyewe walivyocheza na under 20.
Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOT
Simba Sc forever
hahahhahah acha uongo unahic wale ni MORO KIDSbidvest walichezesha kikosi cha watoto under 17....la sivyo Simba wangepigwa kipigo cha mbwa mwizi kama kile cha 7 bila
acha kudangnya kwan wamekua MORO KIDSbidvest walichezesha kikosi cha watoto under 17....la sivyo Simba wangepigwa kipigo cha mbwa mwizi kama kile cha 7 bila
kwn mchezaj ni OKWI pekee?
wankuhusu nn?Hizi mechi okwi na bocco hawachezi au?
Boko vipi mbna ata goli la kuotea jaman wahenga VP [emoji467][emoji467]kwn mchezaj ni OKWI pekee?
WamechezaHizi mechi okwi na bocco hawachezi au?
Muulize kocha wa Orlando Pirates akuambie mziki wake....
Hongera Mnyama!
Vip Moro kidsbidvest walichezesha kikosi cha watoto under 17....la sivyo Simba wangepigwa kipigo cha mbwa mwizi kama kile cha 7 bila
Unawaogopa sana? Hapa tuna test makombora mitambo kwanza hatujaanza kufyatuaHizi mechi okwi na bocco hawachezi au?