SIMBA 1 - 1 BIDVEST

SIMBA 1 - 1 BIDVEST

bidvest walichezesha kikosi cha watoto under 17....la sivyo Simba wangepigwa kipigo cha mbwa mwizi kama kile cha 7 bila
 
watani wanasema juzi tulicheza na team iko mwishoni. sijui leo watasema Bidvest walichezesha team B. kama wenyewe walivyocheza na under 20.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo Niyonzima ilikuwa ajiunge nao South Africa. Sasa story imebadilika. Atajiunga nao huko Kigali. Tusubiri episode nyingine. Utakujasikia atajiunga nao wakirudi Dar. Ikifika hapo mjue ndiyo imetoka hiyo!
 
Back
Top Bottom