Ngetyo
JF-Expert Member
- May 22, 2024
- 301
- 482
Kwakuwa taarfa haijathibitishwa kama ni kisasi au la nitasema nitakapopata uhakika.
But thamani ya punda ikilinganishwa na simba haikupaswa kuwaua simba, jamii inapaswa kujifunza kufuata taratibu sahihi inapotokea shida.
Wenye simba nao wakisema walipize kisasi hiyo jamii hapo jirani itakuwa hatari sana, hatupaswi kuwa watu wa visasi.