π¦ Vifo vya wanyamapori
π Kupotea kwa mifugo kutokana na mashambulizi ya wanyamapori
β οΈ Binadamu kulipiza kisasi kwa kuua wanyamapori
πΏ Uharibifu wa mazingira na makazi ya wanyamapori
π§ Ushindani wa maji na malisho(CHAKULA)
π¦ Kuenea kwa magonjwa kati ya mifugo,wanyamapori na Binadamu
π Kuvurugika kwa uwiano wa Ikolojia
π¨ Kuongezeka kwa hatari kwa usalama wa binadamu
π° Hasara za kiuchumi kwa jamii
βοΈ Kuongezeka kwa migogoro kati ya jamii na mamlaka za uhifadhi
πΎ Kupungua kwa idadi na aina mbalimbali za wanyamapori
ποΈ Kuathirika kwa shughuli za uhifadhi na utalii