Daaaah tunakosa magoli mengi sana ya wazi[emoji22]
Gwaneng Galaxy walipataKocha wa Al Ahly alishasema kuwa hakuna uwanja mgumu kupata matokeo kama uwanja wa mkapa akiwa Simba ndo mpinzani
Hapo alitaka kutoa pasi, Kagerea ka-delay.Banda nafasi ya pili hii tena
Wewe ni bwaksi kwelikweli.Watu wanateseka sana. Kuna mwana Simba mwenzangu ananiuliza mbona muda hauendi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].. mi mi mnyama mkuu odoa Shaka. Siba gufu moyaWewe ni bwaksi kwelikweli.