Simba 3-1 ASEC Mimosas | CAF Confederation Cup | Uwanja wa Mkapa

yaan mechi ya kimataifa UTOPOLO [emoji196][emoji196] wanaenda uwanjani na mijezi yao kushangilia SSC afungwe na wanashangilia kabisa SSC alivyofungwa dah ,halafu tumechoka kuwabeba kwenye michuano ya kimataifa CAF badilishen sheria
 
Hapa mpira bado kabisaaaa...hawa jamaa wazuri sana wakiwa nyumbani Simba atachezea kichapo cha si chini ya goli nne ugenini ... Comment hii ipewe ulinzi.. Nakazia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…