Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Simba mna ujinga flani hivi....mnaamini eti team yenu bora hadi kwa Yanga. Hayo mkadanganyane huko huko vijiweni.
Uhalisia ni kuwa Yanga Jumamosi hatupotezi match. NARUDIA. YANGA JUMAMOSI HATUFUNGWI NA SIMBA. TUKIFUNGWA NAAHIDI HAYA.
1. KUTEMBEA KIFUA WAZI
2. NIPIGWE BAN YA WEEK 1
Yanga tumejiandaa sana kwa hii match na ni Simba watoto tu wasiofahamu kuwa hizi matches za Simba na Yanga hazitegemei Ubora wa Team mojawapo. Zinategemea ana miundo mbinu ya ndani na nje ya uwanja.
JUMAMOSI SIMBA MKIPONA NI DRAW. KINYUME NA HAPO MNALIA.TENA MTALIA KWA UCHUNGU SANA. HAMNA TEAM YA KUIFUNGA YANGA PALE.
Mwiko nyuma mtaanguka uzamee kabisa tarehe 8 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tena wakae kwa kulia
Daima mbele nyuma mwiko
Sawa sawa ngoja tuoneMwiko nyuma mtaanguka uzamee kabisa tarehe 8 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yanga 2-1simbaSimba atafunga magoli mawili, Kati ya hayo mojaatajifunga, Yanga atafunga goli moja tu. Full time sijui Nani atakuwa mshindi hapo
Yaan ujinga utoke kwako utopolon uende wapi? Umesahau dube alivyouchezesha huo mwiko huko nyuma? Rasa nkutoe wasiwasi tu! Hiyo jumamosi utakula 4 dry kbs! Nahuo mwiko huko nyuma utafukunyuliwa kama hauna mwenyeweSimba mna ujinga flani hivi....mnaamini eti team yenu bora hadi kwa Yanga. Hayo mkadanganyane huko huko vijiweni.
Uhalisia ni kuwa Yanga Jumamosi hatupotezi match. NARUDIA. YANGA JUMAMOSI HATUFUNGWI NA SIMBA. TUKIFUNGWA NAAHIDI HAYA.
1. KUTEMBEA KIFUA WAZI
2. NIPIGWE BAN YA WEEK 1
Yanga tumejiandaa sana kwa hii match na ni Simba watoto tu wasiofahamu kuwa hizi matches za Simba na Yanga hazitegemei Ubora wa Team mojawapo. Zinategemea ana miundo mbinu ya ndani na nje ya uwanja.
JUMAMOSI SIMBA MKIPONA NI DRAW. KINYUME NA HAPO MNALIA.TENA MTALIA KWA UCHUNGU SANA. HAMNA TEAM YA KUIFUNGA YANGA PALE.
Ambavyo mnyama mkare kutoka msitu msimbazi atakavyo tinga jangwani nakukamata ngamia wanne walionona, huku wananchi wakijinyeanyea kwawoga ndani ya vihema vyao! Kisha mfalme wa nyika anaanza kutokomea msitu msimbazi nangamia 4 huku wananchi wakichungulia kwambaali!! Hahaaa! Simba hii raha sana! Nafikiri sasa kila mtu anapenda simba inavyosakata kabumbu! Ila kunabaadhi wanajisaja hapa!Mikia Fc kwa kwenda na matokeo mfukoni hamjambo, Kikosi kipana hicho chenu msimu uliopita tuliokota point 4 kati ya 6
Derby haitabiriki
majamaa huwaga hayaelewi,na sasa hivi yafoka foka hayo balaaa.Mikia Fc kwa kwenda na matokeo mfukoni hamjambo, Kikosi kipana hicho chenu msimu uliopita tuliokota point 4 kati ya 6
Derby haitabiriki
Utopolo unajisahaulisha makusudi. Ongelea matokeo kwa mechi zote za derby.Nakukumbusha head to head zilikuwa mechi 3, yanga won 1 (1-0), draw 1 (2-2) , lost 1 (4-1). Simba won 1(4-1), lost 1 (1-0).Mikia Fc kwa kwenda na matokeo mfukoni hamjambo, Kikosi kipana hicho chenu msimu uliopita tuliokota point 4 kati ya 6
Derby haitabiriki
Utopolo bhana, mnaongelea derby halafu mnaacha mechi moja ya FA, mechi ambayo ilikuwa muhimu sana kwenu tena zaidi ya hizo points 4 lakini mlibugizwa 4-1.majamaa huwaga hayaelewi,na sasa hivi yafoka foka hayo balaaa.