Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Simba SC mna ujinga flani hivi mnaamini eti team yenu bora hadi kwa Yanga SC. Hayo mkadanganyane huko huko vijiweni.
Uhalisia ni kuwa Yanga SC Jumamosi hatupotezi match. NARUDIA, YANGA SC JUMAMOSI HATUFUNGWI NA SIMBA SC TUKIFUNGWA NAAHIDI HAYA.
1. KUTEMBEA KIFUA WAZI
2. NIPIGWE BAN YA WEEK 1
Yanga tumejiandaa sana kwa hii match na ni Simba watoto tu wasiofahamu kuwa hizi matches za Simba SC na Yanga SC hazitegemei Ubora wa Team mojawapo. Zinategemea ana miundo mbinu ya ndani na nje ya uwanja.
JUMAMOSI SIMBA MKIPONA NI DRAW, KINYUME NA HAPO MNALIA.TENA MTALIA KWA UCHUNGU SANA. HAMNA TEAM YA KUIFUNGA YANGA PALE.