Simba acheni kujidanganya mkidhani huo Ubora wenu upo hadi kwa Yanga

Muda utasema
 
Mikia Fc kwa kwenda na matokeo mfukoni hamjambo, Kikosi kipana hicho chenu msimu uliopita tuliokota point 4 kati ya 6

Derby haitabiriki
Dah mkuu ulipotea Sana sijui hata nafasi yako kakushikia nani
 
Umeandika pumba maana hujatoa vigezo vya kwamba yanga hauwezi fungwa
 
Ahadi za kipumbavu za mtu asiye mwanamichezo.....

Inaonyesha wewe ni shabiki maandazi.... Na mpira umeanza kuufuatilia juzi tuu...
 
Kama mechi ni J'mosi basi Simba anashinda...

Katika historia ya hizi timu, mechi ya j'mosi huwa ni ngumu kwa Yanga
 
Huyu ni wa kumpuuza tu!
 
Hivi wewe mtopolo hauna kitu kingine cha kujadili?maana mpira ni wa Simba na timu zinazocheza mpira,utopolo ni wacheza rugby na mieleka.

Mi nashauri ungeokoa muda wako kwa kujadili angalau kilimo cha uyoga na matikiti maji.Mpira tuachie wenye mpira wetu
 
Labda mshinde kwa mayakayaka tu ila sio kwa mpira,hamna mpira wa kuifunga simba nyie ikiwa tu FA mmehenyeshwa vile na nasikia mzigo mlitoa ili mshinde
 

Siku hizi naona mmeachana na zile ahadi za kunya hadharani.
 
Simba SC mna ujinga flani hivi mnaamini eti team yenu bora hadi kwa Yanga SC. Hayo mkadanganyane huko huko vijiweni.
Tujikumbushe

 
Red card kwa Ninja itakufanya uwaze vinginevyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…