Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Muda utasemaUtopolo unajisahaulisha makusudi. Ongelea matokeo kwa mechi zote za derby.Nakukumbusha head to head zilikuwa mechi 3, yanga won 1 (1-0), draw 1 (2-2) , lost 1 (4-1). Simba won 1(4-1), lost 1 (1-0).
Kwa hiyo hayo matokeo ya mechi ya FA ya msimu uliopita yanaweza kuhamia kwenye mechi ya ligi msimu huu sababu hayo matokeo yalipatikana dhidi ya vikosi vile vile kama vya ligi kwa msimu huo, na kwa matokeo haya ushaona ipi ilikuwa timu bora.
Kuwa makini!