Simba acheni kujidanganya mkidhani huo Ubora wenu upo hadi kwa Yanga

Simba acheni kujidanganya mkidhani huo Ubora wenu upo hadi kwa Yanga

Yanga ni kam baiskeli ya kunolea visu kelele nyingi iko pale pale
 
Utopolo unajisahaulisha makusudi. Ongelea matokeo kwa mechi zote za derby.Nakukumbusha head to head zilikuwa mechi 3, yanga won 1 (1-0), draw 1 (2-2) , lost 1 (4-1). Simba won 1(4-1), lost 1 (1-0).
Kwa hiyo hayo matokeo ya mechi ya FA ya msimu uliopita yanaweza kuhamia kwenye mechi ya ligi msimu huu sababu hayo matokeo yalipatikana dhidi ya vikosi vile vile kama vya ligi kwa msimu huo, na kwa matokeo haya ushaona ipi ilikuwa timu bora.
Kuwa makini!
Game ya kesho simba ni underdog
 
Simba leo mnatoka Uwanjani hamna furaha kabisa .... Leo ni leo.
 
Back
Top Bottom