Simba aibu hii hadi ada ya kumsaini Kelvin Nashon imewashinda

kurlzawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Posts
16,695
Reaction score
20,633
Habari za muda buu wana michezo,

Kwakweli simba haina pesa hata kulinganisha na Singida big Stars, maana kiungo aliyekuwa anatakiwa na Simba kwa udi na uvumba Kelvin Nashon matari ameamua kutimukia Singida Big Stars baada ya simbakukosa hela ya kumpa.

Hakuna ulazima wa kwenda Duba, huna quality prayers. Simba aibu mnayoitafuta mtaipata soon.
 
Habari za mda buu wana michezo
Kwakweli simba haina pesa ata kulinganisha na Singida big Stars

Maana kiungo aliyekuwa anatakiwa na simba kwa udi na uvumba Kelvin Nashon matari

Ameamua kutimukia SINGIDA BIG STARS
baada ya simbakukosa hela ya kumpa

HAKUNA ULAZIMA WA KWENDA DUBAI HUNA QUALITY PRAYERS SIMBA AIBU MNAYOITAFUTA MTAIPATA SOON
Unaenda Dubai na kina Kibu na Kiyombo unategemea utachukua ubingwa gani
 
Kama timu imekosa ela ya kununua bus la mil 200, watapate wapi ela za kusajili ??
Wapo wanasubilia free agent la babu saidoo
 
Habari za mda buu wana michezo
Kwakweli simba haina pesa ata kulinganisha na Singida big Stars

Maana kiungo aliyekuwa anatakiwa na simba kwa udi na uvumba Kelvin Nashon matari

Ameamua kutimukia SINGIDA BIG STARS
baada ya simbakukosa hela ya kumpa

HAKUNA ULAZIMA WA KWENDA DUBAI HUNA QUALITY PRAYERS SIMBA AIBU MNAYOITAFUTA MTAIPATA SOON
sasa dubai wameenda kufanya nini?
 
Nauli ya kwenda Dubai sio kubwa kiviile.
 
Habari za muda buu wana michezo,

Kwakweli simba haina pesa hata kulinganisha na Singida big Stars, maana kiungo aliyekuwa anatakiwa na Simba kwa udi na uvumba Kelvin Nashon matari ameamua kutimukia Singida Big Stars baada ya simbakukosa hela ya kumpa.

Hakuna ulazima wa kwenda Duba, huna quality prayers. Simba aibu mnayoitafuta mtaipata soon.
Ndio mlikubaliana kwenye wanzuki kuwa simba inamtaka Nashon?
 
Vyura mnateseka sana kwa Simba kwenda Dubai kwani mnailipia gharama? kila mtu apambane na timu yake
 
Habari za muda buu wana michezo,

Kwakweli simba haina pesa hata kulinganisha na Singida big Stars, maana kiungo aliyekuwa anatakiwa na Simba kwa udi na uvumba Kelvin Nashon matari ameamua kutimukia Singida Big Stars baada ya simbakukosa hela ya kumpa.

Hakuna ulazima wa kwenda Duba, huna quality prayers. Simba aibu mnayoitafuta mtaipata soon.
Simba tunasema BOLI NA BATA. Acha vijana wale raha. Ushauri wenu ni husda iliyojificha
 
safari ya dubai imewauma sana utopolo
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Back
Top Bottom