Simba aibu hii hadi ada ya kumsaini Kelvin Nashon imewashinda

Simba aibu hii hadi ada ya kumsaini Kelvin Nashon imewashinda

Kwani hata kama walikuwa wanamhitaji huyo mchezaji alafu wakamwacha, tatizo liko wapi? Yaani Simba Sc. iwe na hela ya kumsajili Ntibanzokiza na wengine watakaotangazwa halafu wakose hela ya kumsajili huyo dogo? Kwani hela ya kumsajili huyo dogo ni shilingi ngapi? Msiwaamulie Simba cha kufanya
 
Hawa quality prayers ni waongoza ibada au ndio wanaosali Kwa ajili ya timu[emoji1][emoji1][emoji1]??
 
Simba kiungo ndio ina assist nyingi ajabu mtu anasema kiungo kibovu ilibid aje nashon khaaa Yan nashon aje Simba kusaidia kiungo hakika uto uto uto
Yani wanazingua sana hao jamaa ngoja inyenshe tujue panapo vuja.... Ila nadhani huyo uto alikua anamaanisha kwamba Simba inahitaji kiungo mkabaji, yani sijui wanafeli wapi hawa uto hawajui kwamba namba hazidanganyi kabisa yaani Simba ni miongoni mwa timu Ligi Kuu ambayo imeruhusu magoli machache, pia hiohio Simba imeingia hatua ya makundi ya CAFCL bila kupoteza hata mchezo mmoja, halafu anatokea uto mmoja kashiba zake mihogo nakuanza kuiona Simba inauhitaji saana wa huyo kiungo mkabaji. Simba kama watasajili kiungo mkabaji ni kwaajili ya kuongeza upana wa kikosi tu na hili ndilo tatizo la timu kwa ujumla yani karibia kila nafasi pale Simba inakosa mtu wa sub ambae akiingia hata athari ubora wa kikosi cha kwanza.
 
Habari za muda buu wana michezo,

Kwakweli simba haina pesa hata kulinganisha na Singida big Stars, maana kiungo aliyekuwa anatakiwa na Simba kwa udi na uvumba Kelvin Nashon matari ameamua kutimukia Singida Big Stars baada ya simbakukosa hela ya kumpa.

Hakuna ulazima wa kwenda Duba, huna quality prayers. Simba aibu mnayoitafuta mtaipata soon.
Ashura rekebisha hapo, inabadili maana nzima ya ulichokusudia kukiongea
 
Back
Top Bottom