Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Wewe uliyeanzisha uzi huu ni shabiki maandazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MaombiPrayers[emoji3][emoji3][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Huyo Mzamiru na kanoute ndo wameifikisha simba Group stage CAFCL huku Mayele na Bangala wakiipeleka Yanga kombe la looser(CAFcc) . Sijui imeona hiyo tofauti?Kwaiyo kocha anaamini mzamiru na kanote watapiga samba
Mateso ya Ngada Fc kuhusu suala la Fei Toto ni makubwa mnoVyura mnateseka sana kwa Simba kwenda Dubai kwani mnailipia gharama? kila mtu apambane na timu yake
Ngada alianza Manji au mnajisahaulisha 🤣🤣🤣🤣Mateso ya Ngada Fc kuhusu suala la Fei Toto ni makubwa mno
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Member wa udakuFuatilia
Watakuambia "sisi tunamsubiri Manzoki! Tayari ameshapanda ndege ya kutoka China, kuja Tanzania"Habari za muda buu wana michezo,
Kwakweli simba haina pesa hata kulinganisha na Singida big Stars, maana kiungo aliyekuwa anatakiwa na Simba kwa udi na uvumba Kelvin Nashon matari ameamua kutimukia Singida Big Stars baada ya simbakukosa hela ya kumpa.
Hakuna ulazima wa kwenda Duba, huna quality prayers. Simba aibu mnayoitafuta mtaipata soon.
Hivi ndani ya msimu mmoja huwa mnaajiri makocha wangapi? Maana kila usajiri unapofika, haya maneno huwa yanajirudia.Timu ndio kwanza juzi imempata Kocha mpya. Ingemsajili Kelvin Nashon bila matakwa/ mahitaji ya Kocha?
Msimu huu ndiyo wasahau! Bora hata wangekomaa tu kule Zanzibar, ili watetee ubingwa wa Mapainduzi.Unaenda Dubai na kina Kibu na Kiyombo unategemea utachukua ubingwa gani
Usikute unayemtukana ni Baba yako Mzazi au Rafiki yako wa karibu sana ambapo ukikwama tu anakuwa msaada wako wa kwanza, si kwa pesa tu bali hata ushauri.Mkishiba mihogo na kulewa mataputapu mnajitungia tu hadithi na kupost humu,Luc aliona mbali kuwaita nyie mbwa na kima
We kweli hamnazo kabisa yani chz box...Mudathiri mlishindwa Kelvin mmeshindwa mtamunua nani
Na hamna viungo?
Kwahiyo umejiona unaakili?Bongo mashabiki wengi wehu ampendi team ziambiwe ukweli
Huna hoja wewe, lete takwimu zinaonyesha simba inaubovu wa kiungo... Otherwise ni marekebisho tu kulingana matakwa ya bench sio vinginevyo.Duh kweli kupenda upofu anyway kama hujacheza mpira huwezi elewa
Walisema lini wanamtaka? Hebu tujaribu kuwa siriasi na hizi taarifa na kuacha ushabiki.Habari za muda buu wana michezo,
Kwakweli simba haina pesa hata kulinganisha na Singida big Stars, maana kiungo aliyekuwa anatakiwa na Simba kwa udi na uvumba Kelvin Nashon matari ameamua kutimukia Singida Big Stars baada ya simbakukosa hela ya kumpa.
Hakuna ulazima wa kwenda Duba, huna quality prayers. Simba aibu mnayoitafuta mtaipata soon.
Ela ni nini? Au unasema helaKama timu imekosa ela ya kununua bus la mil 200, watapate wapi ela za kusajili ??
Wapo wanasubilia free agent la babu saidoo
Uyo popoma hekima ataitoa wapi mkuu? Si ajabu ameshalaaniwa huyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Usikute unayemtukana ni Baba yako Mzazi au Rafiki yako wa karibu sana ambapo ukikwama tu anakuwa msaada wako wa kwanza, si kwa pesa tu bali hata ushauri...
Mbumbumbu/Makolokolo/Makelele/Malalamiko/Mikia/Kolowizards/Ngada FC mna shida gani vichwani?Imewauma Sana uto kuona Kibu D anapanda mwewe hadi Dubai huku mayele Yuko kambi kimbiji anakula mihogo na ntobhorwa / nyanyantole
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app