Simba aibu hii hadi ada ya kumsaini Kelvin Nashon imewashinda

Simba aibu hii hadi ada ya kumsaini Kelvin Nashon imewashinda

Hivi nyie ni watu wa namna gani? Unaibua tetesi na kuamua kutukana viongozi wa Simba eti hawajamsajili KELVIN NASHON.

Kuweni na hekima basi, lawama kama hizi zinatoka kwa wajinga fulani hivi.
 
Habari za muda buu wana michezo,

Kwakweli simba haina pesa hata kulinganisha na Singida big Stars, maana kiungo aliyekuwa anatakiwa na Simba kwa udi na uvumba Kelvin Nashon...
Labda tuanzie hapo kwanza Kwani Nashon alitarajiwa kucheza namba ngapi pale Simba? Au unataka kuleta zile za Utopolo wenzako za kumuacha Saidoo Pele Ntibazonkiza na kumsajili Tuisila Kisinda?
 
Huyo ni mchezaji wa league kuu tu sio club bingwa, na wao waliweka wazi kabisa simba inasajili mchezaji wa kucheza CAFCL, sio kuja kujamba bench
 
Hizi habari umepata gazeti la mwanaspoti ila Huwa sio chanzo Cha kuaminika wakati Simba wanasaka kocha walikuja na Hadithi kibao mara kocha wa Simba anatoka ureno atakuwepo siku Simba anacheza na Mbeya city atakuja na wasaidizi wake ikiwemo msomaji wa video baadae wakaja na story nyingine Simba watachukua kocha wa holoya waliposikia kocha wa vipers kajiuzulu wakabadilika wakasema Simba wamemshindwa kocha wa holoya wamemgeukia wa wa vipers muda wote wakizunguka jemedari said alishatoa tetesi kocha wa vipers ni miongoni mwa makocha wanaofikiriwa kufundisha Simba Kwa kifupi ni kijarida kinachotumiwa na utopolo kufanya propaganda zao
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Mohamed Ottara.

Peter Banda.

Nelson Okwa.

Victor Akpan.

Okrah.

Kanute/ onyango.

Hawa ni wachezaji Mizigo.
 
Simba ilimtaka au wewe ndie ilimtaka aende Simba?

Tuliza kichwa chako jiulize vizuri hilo swali.
 
Nyoni.

Boko.

Mkude.

Mwenda.

Gadiel.

KIBU.

Kyombo.

Hii ni mizigo
 
Mohamed Ottara.

Peter Banda.

Nelson Okwa.

Victor Akpan.

Okrah.

Kanute/ onyango.

Hawa ni wachezaji Mizigo.
Kocha/Scout/Mchambuzi unavyoweza kufahamu wachezaji mizigo ungekuwa unaweka na wachezaji mbadala wa hao mizigo..hapo ndiyo tungeona utaalamu wako.
 
Habari za muda buu wana michezo,

Kwakweli simba haina pesa hata kulinganisha na Singida big Stars, maana kiungo aliyekuwa anatakiwa na Simba kwa udi na uvumba Kelvin Nashon matari ameamua kutimukia Singida Big Stars baada ya simbakukosa hela ya kumpa...
Acha ukilaza wewe wapi SSC walitoa taarifa za kumtaka huyo mchezaji? Hizo ni tetesi na zibakikua tetesi tu.

Usichokujua sasa kuna tetesi za mchezaji kutakiwa na timu fulani hasa timu kubwa wakati mwingine kupitia wakala wake(mchezaji) ili mchezaji apande thamani yake.

SSC haiwezi kuzuia tetesi maana ndo utamaduni wa mpira upo ivo duniani kote hata kama ni za uongo, kwahiyo usikurupuke tu nakuja hapa kusema kwamba SSC imeshindwa kumnunua Nashoni.. Seriously!
 
Back
Top Bottom