3ZOV
JF-Expert Member
- Dec 28, 2020
- 6,259
- 7,015
Alisajiliwa kabla kocha mpya leta nyingneNtibazonkiza kocha alimtaka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alisajiliwa kabla kocha mpya leta nyingneNtibazonkiza kocha alimtaka?
Ubongo uko sawa kweli?Kwaiyo kocha anaamini mzamiru na kanote watapiga samba
Labda tuanzie hapo kwanza Kwani Nashon alitarajiwa kucheza namba ngapi pale Simba? Au unataka kuleta zile za Utopolo wenzako za kumuacha Saidoo Pele Ntibazonkiza na kumsajili Tuisila Kisinda?Habari za muda buu wana michezo,
Kwakweli simba haina pesa hata kulinganisha na Singida big Stars, maana kiungo aliyekuwa anatakiwa na Simba kwa udi na uvumba Kelvin Nashon...
Na ile ipo nafasi ya pili ni nini? Inayoshiriki Club bingwa na sio ShirikishoHamna team
Nyie ndiyo hamna timu ndiyo maana mnashiriki kombe la wakosajiHamna team
Swali zuri..yalikuwa maoni ya humu jf na wala hakukuwa na taarifa rasmi ya club.Lini Simba walisema wanamtaka Nashon?
MhhhhNyoni.
Boko.
Mkude.
Mwenda.
Gadiel.
KIBU.
Kyombo.
Hii ni mizigo
Kocha/Scout/Mchambuzi unavyoweza kufahamu wachezaji mizigo ungekuwa unaweka na wachezaji mbadala wa hao mizigo..hapo ndiyo tungeona utaalamu wako.Mohamed Ottara.
Peter Banda.
Nelson Okwa.
Victor Akpan.
Okrah.
Kanute/ onyango.
Hawa ni wachezaji Mizigo.
Acha ukilaza wewe wapi SSC walitoa taarifa za kumtaka huyo mchezaji? Hizo ni tetesi na zibakikua tetesi tu.Habari za muda buu wana michezo,
Kwakweli simba haina pesa hata kulinganisha na Singida big Stars, maana kiungo aliyekuwa anatakiwa na Simba kwa udi na uvumba Kelvin Nashon matari ameamua kutimukia Singida Big Stars baada ya simbakukosa hela ya kumpa...
Wewe wasema... Ila muda utaongea kwenye hiyo list yako mmmh ngoja tusubiri na tujioneeMohamed Ottara.
Peter Banda.
Nelson Okwa.
Victor Akpan.
Okrah.
Kanute/ onyango.
Hawa ni wachezaji Mizigo.
Kinanani hao?...Wakifanya mambo tena kwa kukurupuka utakuja na jingine humu.
Simba sio wazee wa upako mwanetuhuna quality prayers