Ya kwenu ipo wapi kwenye club bingwa?Hamna team
Yani wanazingua sana hao jamaa ngoja inyenshe tujue panapo vuja.... Ila nadhani huyo uto alikua anamaanisha kwamba Simba inahitaji kiungo mkabaji, yani sijui wanafeli wapi hawa uto hawajui kwamba namba hazidanganyi kabisa yaani Simba ni miongoni mwa timu Ligi Kuu ambayo imeruhusu magoli machache, pia hiohio Simba imeingia hatua ya makundi ya CAFCL bila kupoteza hata mchezo mmoja, halafu anatokea uto mmoja kashiba zake mihogo nakuanza kuiona Simba inauhitaji saana wa huyo kiungo mkabaji. Simba kama watasajili kiungo mkabaji ni kwaajili ya kuongeza upana wa kikosi tu na hili ndilo tatizo la timu kwa ujumla yani karibia kila nafasi pale Simba inakosa mtu wa sub ambae akiingia hata athari ubora wa kikosi cha kwanza.Simba kiungo ndio ina assist nyingi ajabu mtu anasema kiungo kibovu ilibid aje nashon khaaa Yan nashon aje Simba kusaidia kiungo hakika uto uto uto
Ashura rekebisha hapo, inabadili maana nzima ya ulichokusudia kukiongeaHabari za muda buu wana michezo,
Kwakweli simba haina pesa hata kulinganisha na Singida big Stars, maana kiungo aliyekuwa anatakiwa na Simba kwa udi na uvumba Kelvin Nashon matari ameamua kutimukia Singida Big Stars baada ya simbakukosa hela ya kumpa.
Hakuna ulazima wa kwenda Duba, huna quality prayers. Simba aibu mnayoitafuta mtaipata soon.