Simba akishinda nipigwe ban hapa JF

Simba akishinda nipigwe ban hapa JF

FB_IMG_1697714414801.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaribuni kuwa wazalendo. Chuki na ubishani usio na tija wekeni pembeni!

Kuna wajinga leo watashabikia maadaui hao wa kuja 😔

Mimi ni YANGA, leo namuombea mtani kila la kheri 👍🏾
 
Upigwe ban usipigwe ban hakuna tofauti yoyote!! Tofauti hutokea tu kwa watu wenye status kubwa!! wewe bado sana!! Ukiwepo hakuna anayegundua kuwa upo na usipokuwepo hakuna anayegundua kuwa haupo!!
Mkuu.....ukiongelea watu wenye influence kubwa hapa jf .....huwezi acha kutaja mshana jr na Labani og
 
MCHUNGAJI MASHIMO ATOA TAMKO BAADA YA AHMED ALLY KUMKATIA SIMU

"Nimeona watu wa simba wanajisifu wapo juu wamesahau kuna mtu aliewafanya wawepo hapo juu, wamesahau kwamba mimi ndio nlisema simba SC kuwa itafanya vizuri Msimu huu na tayari wamechukua ngao ya jamii

Mwambieni ikifika hadi jioni saa 10 hawajatoa sadaka Basi watapata laana watafungwa magoli mengi na Al Ahly, sitaki mashabiki watoe sadaka zao hii wanatakiwa kutoa viongozi wa simba sio mashabiki

Yanga niliwaambia watoe fungu la Kumi Wakadharau, laana Ambayo nimeishusha kwao ni Kushika Nafasi ya Tatu kwenye Ligi kuu Hadi watakapoleta Ile sadaka iliyobakia ya msimu uliopita, na wasipotoa hawatafika Popote wataishia Makundi" Amefunguka Mchungaji wa Taifa Pastor Daniel Mashimo

LuoBoy Media
 
Back
Top Bottom