Simba akishinda nipigwe ban ya siku 3. Leo hata draw hawapati, ni kipigo watake wasitake

Hapana asamehewe tu ..... ilikuwa utani tu[emoji26][emoji26][emoji26]
 
Mchezo umeshaisha.... Simba akishinda leo nipigwe ban ya Siku 3. Sioni hawa madogo wa mikia wakishinda. Sioni kila nikiangalia naona wamejawa na kipigo tu na hamna team

Tatizo ramli uliyopiga imekucheza 🤣🤣
 
Kikombe Walichoomba Kukinywea Tafadhali Uongozi Jazeni Mpaka Kifurike. Walikuwa Wanafikiria Simba Ina Mzaha Kwenye Jambo Lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…