Simba akishinda nipigwe ban ya siku 3. Leo hata draw hawapati, ni kipigo watake wasitake

Simba akishinda nipigwe ban ya siku 3. Leo hata draw hawapati, ni kipigo watake wasitake

Safi tena tunzeni risiti za watu kama hawa wakijirudia mnawapiga cha maisha...
Hawajifunzi mwenzao laban og kaacha huo uzwazwa siku hizi...
 
Kuna mwingine aliomba ban ya wiki, ngoja nikutafutie umpige tofari.
 
Ila jana waliofungwa ni mazembe lakini mikia walinuna.
Mimi sikununa. Inaonekana nipo tofauti na mashabiki wengine. Pamoja na kwamba naishabikia Simba, lakini napenda mafanikio ya Yanga na timu nyingine yoyote ya Tanzania kimataifa. Hivyo jana nilifurahi Yanga waliposhinda
 
Tambua kuwa, SIMBA ni Timu chache bora Barani Afrika.
 
Back
Top Bottom