SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Mtoto umeutaka haya ukatikie vizuri huku unaimba taarabMchezo umeshaisha. Simba akishinda leo nipigwe ban ya Siku 3. Sioni hawa madogo wa mikia wakishinda. Sioni kila nikiangalia naona wamejawa na kipigo tu na hamna team pale.
Nyie wakina baba tutaona kama mtavuka makundiLosers Cup aka akina mama ndo yenu.
Kama kawaida.Nyie wakina baba tutaona kama mtavuka makundi
Na ww toa ahadi wasipofuzu ulambwe banKama kawaida.
Hapana.Na ww toa ahadi wasipofuzu ulambwe ban
PoaHapana.
Bora kala ban,nilitaka nilalamike kwa mods.Mchezo umeshaisha. Simba akishinda leo nipigwe ban ya Siku 3. Sioni hawa madogo wa mikia wakishinda. Sioni kila nikiangalia naona wamejawa na kipigo tu na hamna team pale.
Ndio mkuuNa huyu walipita nae
Yapi?Hatimaye yametimia uliyoyataka
Nmekula nini?Bora kala ban,nilitaka nilalamike kwa mods.
Hii ni chuki au tatizo la akili?Mchezo umeshaisha. Simba akishinda leo nipigwe ban ya Siku 3. Sioni hawa madogo wa mikia wakishinda. Sioni kila nikiangalia naona wamejawa na kipigo tu na hamna team pale.
AuHii ni chuki au tatizo la akili?