Simba ana kikosi cha kawaida mno kwa Azam

Tukisema zaidi ya chama hakuna mchezi wa simba anapata number Azam msiwage wabishi
 
Chief kama umetqbiri mzee baba
 
Kwa kikosi cha cha simba cha leo,siioni simba ikichomoka bila kupigwa
 
Kwa kikosi cha cha simba cha leo,siioni simba ikichomoka bila kupigwa
Hata sisi Azam msimu Jana mmetufunga tulikuwa na majeruhi 7 mkafurahi mno
 
Shukuruni Mungu tepsie yupo majukumu ya kitaifa Nigeria under 23
 
Aya njooni mniue
 
Mchazi anaeweza pata number Azam ni chama tu
 
Wengine wote hawapati
 
Azam waetupigia mpira mpaka tumetii.kha,,hii ndo Simba yangu au nyingine?
 
Azam waetupigia mpira mpaka tumetii.kha,,hii ndo Simba yangu au nyingine?
Mkubali bila kuhonga marefa simba na yanga hamna vikosi vya kutufunga ata muwe combined
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…