Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chief kama umetqbiri mzee babaKama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.[emoji3516]
Mimi kama mwanachama na shabiki lia lia wa Azam FC na kwa kikosi nilichonacho kilichojaa vipaji, hakika nitasoneneka mno kwa Simba hii yenye wachezaji wa kawaida ikipata sare na sisi.
Ombi, refa achezeshe kwa haki mambo ya kubeba wakubwa kama mlivyombeba Yanga mechi na Azam yanadumaza soka.
Azam hatuna ujinga wa kuhonga marefa tupate ubingwa, ila uwezo wa kuwafunga hawa mapacha wa Karikoo walishindwa ata kumiliki viwanja tunaweza.
GO AZAM, TEAM BORA BIDHAA BORA.View attachment 2399069
Sasaaaa, ungesubiri waje wengine watoemaoni yao! Naona, uzi unaujaza wewe mwenyewe tu!Wengine wote hawapati
Oyooooooooo!!! Hivi niliwaaaambiaje wakuuuuuuu?Prince leo anakuwa King, kiulaini.
Yanga tena????? Anaingiaje hapoMkubali bila kuhonga marefa simba na yanga hamna vikosi vya kutufunga ata muwe combined