Simba anakwenda kupoteza huu mchezo

Simba anakwenda kupoteza huu mchezo

Thabit Madai

Member
Joined
Oct 8, 2024
Posts
54
Reaction score
140
- Historia inaonesha kwamba mara nyingi Simba wakiingia kwenye Derby na Mbwembwe huwa wanapoteza mchezo au kutoka sare.

Mara kadhaa Simba wakiingia kama second team huwa wanashinda, ndio maana hata wakati Sinbad wakiwa kwenye ubora walihangaika kuwafunga Yanga hawakuwahi kushinda mara 3 consecutively.

Hii ni tofauti na Yanga ambao wakiwa na Timu nzuri hata wakiingia na kelele huwa wanashinda.

Kwa sasa mfumo wa mapato kwa mwenyeji kuchukua mzigo wote umepelekea hata timu ikiwa dhaifu ila ikiwa mwenyeji inapiga kelele kuwaita mashabiki ili kutengeneza kipato.

Acha tusubiri Derby hii tuone!
 
Kwa ubora Yanga anashinda ukiangalia makaratasi ila mechi zao hawa jamaa zina vitu vingi sana aisee mimi huwa nasubiri mpaka mbungi ipigwe tu.
 
Simba itafungwa kwakua Bado timu Yao inajitafuta.
Ata kama refa atachezesha hovyo kama mechi iliyopita Bado Quality ita amua Matokeo.
Gamond anakwenda kuimaliza Derby na kuonekana Haina maana.
 
Back
Top Bottom