Simba anatwaa ubingwa 2024/25 wala halihitaji ramli!

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2016
Posts
18,833
Reaction score
23,276
Wengi wanaponda upangaji wa kikosi wa mwalimu fadlu davis mbinu zake,kwanza kabisa mimi sio shabiki wala mpenzi wa klabu ya simba mimi ni shabiki na mwanachama wa Coastal union mangushi ya Tanga ila sasa navutiwa na timu ya mkoa wangu wa asili Tabora united.

Niseme ukweli bila kupepesa Simba wana mwalimu mzuri sana mwenye kujua kusoma mchezo husika kabla ya mechi na kubadili mbinu ndani ya mchezo,

Simba ina wachezaji wenye kujua muda na mazingira ya kuamua gemu na kucheza mechi zenye pressure kubwa kiwanja cha nyumbani na nje ya jiji,mpaka muda huu hakuna timu yeyote yenye kikosi kipana na bora kuliko simba kama hamuamini waulizeni yanga watasema wanataka kusajili kikosi chote cha simba kuanzia benchi la ufundi mpaka rizevu yote ili wawasaidie ila mashabiki wa simba hawajiamini na timu yao.

Na kudhihirisha hilo kuwa Simba ni timu bora msimu huu wanakwenda kubeba mataji yote ya ndani na ubingwa wa shirikisho inshaAllah hilo linawezekana kwa kikosi walicho nacho hebu waulizeni yanga nani hamtaki Camara,ayoub,Manula,Nouma,shabalala,kapombe,Chemalone,karabuoa,Abdulrazak,okjepha,mavambo,mzamiru,kagoma,Aweso,Ateba,mukwala,mutale,kibu,kijili ,mpanzuna wengineo ukitaka kulijua hilo angalia walivyomrukia israel mwenda.......

Simba ndio bora kwa sasa Tanzania hii ikifuatiwa na azam,Tabora,fontain gate,coastal,yanga,black stars na nyinginezo......2024/25 Simba bingwa bila kipingamizi nyingine ni blah blah!
 
Ateba baada ya pre season mtamkataa maana atarudi amefutuka amekuwa na zegembe yani amenenepa.

Turudi kwenye mada

Simba kuwa bingwa ni mpaka mechi ya mwisho. Yanga tunawapumulia kisogoni kwa kasi ya ajabu
754765.jpg
 
utopwinyo baada ya kufufuka kwenye game moja mshaanza matusi mtateseka sanaa tena kipa yule yaan wakilenga lango tu walete katiiii🤣🤣🤣
Unatulazimisha tuchange haraka cement ya kujenga mnara wa Rage pale Msimbazi center
 
Mwanzoni niliamini kabisa wewe si shabiki wa Mnyama, ila nilipoona neno inshalah nikahitimisha kuwa wewe ni Mnyama mkali moyoni ila kimwili upo huko kwingine kama mashabiki wengi wa Uto wanavyochekea chooni Uto iki YAS.
 
Wengi wanaponda upangaji wa kikosi wa mwalimu fadlu davis mbinu zake,kwanza kabisa mimi sio shabiki wala mpenzi wa klabu ya simba mimi ni shabiki na mwanachama wa Coastal union mangushi ya Tanga ila sasa navutiwa na timu ya mkoa wangu wa asili Tabora united.

Niseme ukweli bila kupepesa Simba wana mwalimu mzuri sana mwenye kujua kusoma mchezo husika kabla ya mechi na kubadili mbinu ndani ya mchezo,

Simba ina wachezaji wenye kujua muda na mazingira ya kuamua gemu na kucheza mechi zenye pressure kubwa kiwanja cha nyumbani na nje ya jiji,mpaka muda huu hakuna timu yeyote yenye kikosi kipana na bora kuliko simba kama hamuamini waulizeni yanga watasema wanataka kusajili kikosi chote cha simba kuanzia benchi la ufundi mpaka rizevu yote ili wawasaidie ila mashabiki wa simba hawajiamini na timu yao.

Na kudhihirisha hilo kuwa Simba ni timu bora msimu huu wanakwenda kubeba mataji yote ya ndani na ubingwa wa shirikisho inshaAllah hilo linawezekana kwa kikosi walicho nacho hebu waulizeni yanga nani hamtaki Camara,ayoub,Manula,Nouma,shabalala,kapombe,Chemalone,karabuoa,Abdulrazak,okjepha,mavambo,mzamiru,kagoma,Aweso,Ateba,mukwala,mutale,kibu,kijili ,mpanzuna wengineo ukitaka kulijua hilo angalia walivyomrukia israel mwenda.......

Simba ndio bora kwa sasa Tanzania hii ikifuatiwa na azam,Tabora,fontain gate,coastal,yanga,black stars na nyinginezo......2024/25 Simba bingwa bila kipingamizi nyingine ni blah blah!
Sijabisha mzee wa Kwihala.
 
Back
Top Bottom