kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
- Thread starter
- #61
Rudi kaangalie marudio ya jana!Majifunga wenyewe mnamsingizia kayoko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rudi kaangalie marudio ya jana!Majifunga wenyewe mnamsingizia kayoko
Unashika nafasi ya ngapi kwenye ligi?Nyie endeleeni kujenga timu, mambo ya Ubingwa na Simba ni vitu tofauti kabisa.
Kikosi Cha Ubingwa uwa kinajitambulisha na haki itaji promo
Mnahitaji misimu miwili zaidi kuwa washindani wa Ubingwa Tena ikiwa Yanga hawata Fanya maboresho yenye tija.
Kwasasa mtaendelea kuipambania nafasi ya pili/ tatu.
Sasa lini Simba alikua na timu ya kuifunga Yanga.Yanga msimu huu hana timu ya kumfunga simba rudia kuangalia mechi ilivyomalizwa kibabe kwa msaada wa ramadhani kayoko refarii!
Haya kuna lipi kubwa!Sasa lini Simba alikua na timu ya kuifunga Yanga.
Yanga ya bakuli iliwashenyeta Sasa hii si inaendeleza ilipo ishia.
Nakazia maneno yangu!Wengi wanaponda upangaji wa kikosi wa mwalimu fadlu davis mbinu zake,kwanza kabisa mimi sio shabiki wala mpenzi wa klabu ya simba mimi ni shabiki na mwanachama wa Coastal union mangushi ya Tanga ila sasa navutiwa na timu ya mkoa wangu wa asili Tabora united.
Niseme ukweli bila kupepesa Simba wana mwalimu mzuri sana mwenye kujua kusoma mchezo husika kabla ya mechi na kubadili mbinu ndani ya mchezo,
Simba ina wachezaji wenye kujua muda na mazingira ya kuamua gemu na kucheza mechi zenye pressure kubwa kiwanja cha nyumbani na nje ya jiji,mpaka muda huu hakuna timu yeyote yenye kikosi kipana na bora kuliko simba kama hamuamini waulizeni yanga watasema wanataka kusajili kikosi chote cha simba kuanzia benchi la ufundi mpaka rizevu yote ili wawasaidie ila mashabiki wa simba hawajiamini na timu yao.
Na kudhihirisha hilo kuwa Simba ni timu bora msimu huu wanakwenda kubeba mataji yote ya ndani na ubingwa wa shirikisho inshaAllah hilo linawezekana kwa kikosi walicho nacho hebu waulizeni yanga nani hamtaki Camara,ayoub,Manula,Nouma,shabalala,kapombe,Chemalone,karabuoa,Abdulrazak,okjepha,mavambo,mzamiru,kagoma,Aweso,Ateba,mukwala,mutale,kibu,kijili ,mpanzuna wengineo ukitaka kulijua hilo angalia walivyomrukia israel mwenda.......
Simba ndio bora kwa sasa Tanzania hii ikifuatiwa na azam,Tabora,fontain gate,coastal,yanga,black stars na nyinginezo......2024/25 Simba bingwa bila kipingamizi nyingine ni blah blah!