Simba anatwaa ubingwa 2024/25 wala halihitaji ramli!

Simba anatwaa ubingwa 2024/25 wala halihitaji ramli!

Nyie endeleeni kujenga timu, mambo ya Ubingwa na Simba ni vitu tofauti kabisa.
Kikosi Cha Ubingwa uwa kinajitambulisha na haki itaji promo
Mnahitaji misimu miwili zaidi kuwa washindani wa Ubingwa Tena ikiwa Yanga hawata Fanya maboresho yenye tija.
Kwasasa mtaendelea kuipambania nafasi ya pili/ tatu.
Alisikika utopwinyo mmoya akitokea dimbwini
 
Na kudhihirisha hilo kuwa Simba ni timu bora msimu huu wanakwenda kubeba mataji yote ya ndani na ubingwa wa shirikisho inshaAllah
NDugu Kipara Kipya niliwahi kukuomba zitakapoota tena usinyoe tafadhali. Hapa nazidi kuomba ziote haraka maana unadhalilisha mashabiki wenzako wa ukolo
 
hata niko 50/50. SImba wana nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa iwapo angaalau watatoka sare na Yanga. Wakishafungwa na Yanga basi ndoto ya ubingwa inakuwa kwisihney labda Yanga waboronge tena dhidi ya timu za kati.
 
FB_IMG_17347975759815688.jpg
 
hata niko 50/50. SImba wana nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa iwapo angaalau watatoka sare na Yanga. Wakishafungwa na Yanga basi ndoto ya ubingwa inakuwa kwisihney labda Yanga waboronge tena dhidi ya timu za kati.
Wana anzaje kuifunga Yanga?
 
hata niko 50/50. SImba wana nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa iwapo angaalau watatoka sare na Yanga. Wakishafungwa na Yanga basi ndoto ya ubingwa inakuwa kwisihney labda Yanga waboronge tena dhidi ya timu za kati.
Yanga msimu huu hana timu ya kumfunga simba rudia kuangalia mechi ilivyomalizwa kibabe kwa msaada wa ramadhani kayoko refarii!
 
Back
Top Bottom