Simba anatwaa ubingwa 2024/25 wala halihitaji ramli!

Mwanzoni niliamini kabisa wewe si shabiki wa Mnyama, ila nilipoona neno inshalah nikahitimisha kuwa wewe ni Mnyama mkali moyoni ila kimwili upo huko kwingine kama mashabiki wengi wa Uto wanavyochekea chooni Uto iki YAS.
Asilimia "semanini" ya Wana Mangush ni Simba Sports Club.
 
Nyie endeleeni kujenga timu, mambo ya Ubingwa na Simba ni vitu tofauti kabisa.
Kikosi Cha Ubingwa uwa kinajitambulisha na haki itaji promo
Mnahitaji misimu miwili zaidi kuwa washindani wa Ubingwa Tena ikiwa Yanga hawata Fanya maboresho yenye tija.
Kwasasa mtaendelea kuipambania nafasi ya pili/ tatu.
 
Unaujua sana mpira
 
Haya ni maoni yako yanaheshimiwa kama ulivyowasilisha rudi jioni ya leo uangalie mpira ila usitizame sana matokeo!
 
Sijaelewa umeandika nini hasa... yaani huna mtiririko sahihi... Ishu ni nini hasa?
Briefly tafadhari...
 
Unaongea kama kuna kitu umekikalia mpaka sasa anaepambania nafasi ya pili ni nani ? Tena kwa kipa yule Mbagala Tegeta imo .
 
Ndugu
Unaongea kama kuna kitu umekikalia mpaka sasa anaepambania nafasi ya pili ni nani ? Tena kwa kipa yule Mbagala Tegeta imo .
Ndugu mbumbumbu kipindi hiki ni cha Kila timu kujaribu kukaa kileleni ila kuanzia round ya 24 kileleni anakua mmoja tu, Yanga na ndiye Bingwa wa msimu 24/25 wengine ni watoa changamoto ila nafasi yenu ni ya 3 .
 
Haya ni maoni yako yanaheshimiwa kama ulivyowasilisha rudi jioni ya leo uangalie mpira ila usitizame sana matokeo!
Kwasasa Bado hauna wachezaji wa kukupa Ubingwa, Ubingwa hauokotwi Jalalani lazima pale uwanjani uwe na wachezaji wasio pungua 6 wa kukupa Ubingwa.
Mtaloga weee na mtapata penalty Kila mechi ila Si Ubingwa.
 
Wacha tuone muda utaongea unafikiri ni nani aliyemroga dube pale yanga ali kamwe jibu analo!
 
Ndugu
Ndugu mbumbumbu kipindi hiki ni cha Kila timu kujaribu kukaa kileleni ila kuanzia round ya 24 kileleni anakua mmoja tu, Yanga na ndiye Bingwa wa msimu 24/25 wengine ni watoa changamoto ila nafasi yenu ni ya 3 .
kama ni kila timu mbona we huwezi kukaa huko kileleni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…