Simba anatwaa ubingwa 2024/25 wala halihitaji ramli!

Unashika nafasi ya ngapi kwenye ligi?
 
5imba wanakula BOMBA, 5imba wanagongwa MSUMARI, 5imba wanakalia fimbo
Mtoa mada; Simba hana mpinzani
Uhalisia ; FT: 5imba 1 - 5 Yanga
5imba 1 - 2 Yanga
5imba 0 - 1 Yanga
5imba 0 - 1 Yanga
Halafu mtoa mada anataka kulinganisha kikosi cha matapeli na wachezaji mpira 😀 walikuwa wapi wakati wanakalia BOMBA?
Hakuna mchezaji hata mmoja wa 5imba anayeweza kumtoa hata Max Nzengeli
Hayo magoli yenu ya penalty na kusuasua kidogo kwa Yanga yasiwape jeuri!

 
Yanga msimu huu hana timu ya kumfunga simba rudia kuangalia mechi ilivyomalizwa kibabe kwa msaada wa ramadhani kayoko refarii!
Sasa lini Simba alikua na timu ya kuifunga Yanga.
Yanga ya bakuli iliwashenyeta Sasa hii si inaendeleza ilipo ishia.
 
Nakazia maneno yangu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…