Simba apewa point zake 3 dhidi ya Kagera sugar

Status
Not open for further replies.
Yote sawa tusubiri matokeo.Nionavyo Simba akipewa hizo pt 3...Yanga watazuwa balaa na wakinyimwa hizo pt 3 Simba watazuwa balaa.
Kwa hiyo droo itawafaa pande zote[emoji23]

yaani simba, yanga na kagera
 
afadhali simba ipewe hizo point ili kuondoa aibu ya haw yeboyebo wanaochomolewa na waarabu kila mwaka.... mfano, tusubiri tuu, yanga anaenda kutolewa kamasi na waarabu na wakirudi watakuwa kimya, namkumbuka sana Jeri Muro na tambwe zake......
 
afadhali simba ipewe hizo point ili kuondoa aibu ya haw yeboyebo wanaochomolewa na waarabu kila mwaka.... mfano, tusubiri tuu, yanga anaenda kutolewa kamasi na waarabu na wakirudi watakuwa kimya, namkumbuka sana Jeri Muro na tambwe zake......
 
Hata timu ya vijana ilipita kwa ushindi wa mezani na watanzania wakashangilia! Sasa naona hili la simba watu hawataki kukubali......jamani tukubali tu yaishe.
 
Safi sana ila TFF iandae utaratibu kama wa ulaya. Yaani kabla ya mechi kila timu inaeleza wachezaji wasiocheza na sababu za kutocheza ikiwemo waliopewa kadi za njano au nyekundu.
Haya ndio yatakuwa maendeleo. Timu ikifanya kosa kama hilo la Kagera, vyombo husika visisubiri timu pinzani ikate rufaa, ipigwe faini nzito ikishindwa kulipa kwa wakati ishushwe daraja tu, maana hakuna namna nyingine.
 
Pilipili ya shamba yakuwashia nini maana anayepokwa point yu kimya ajua alivurunda ss we mwingine inakuhusu.
 
kikao kinakaa saa 9.
PIA inasemekana wanataka kubalance mambo ili na Yanga wapewe point 3 za mechi ya African Lyoni.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…