Simba atafungwa na Raja zaidi ya goli 6 huko Morocco

Simba atafungwa na Raja zaidi ya goli 6 huko Morocco

Ndio, ni hesabu za CROSS MULTIPLICATION.

Mwaka 1998 Yanga alidraw na Raja hapa Dar es salaam, Morocco akapoteza kwa goli 6.

Sasa huyu aliyefungwa 6 Taifa, Morocco atapigwa ngapi?
Sio wote wana ujinga kama wa Yanga. Chukua hii:
10/03/2021 --- Namungo 0 - 3 Raja
21/04/2021 --- Raja 1 - 0 Namungo
 
Sio wote wana ujinga kama wa Yanga. Chukua hii:
10/03/2021 --- Namungo 0 - 3 Raja
21/04/2021 --- Raja 1 - 0 Namungo
Hii ya lini hii duuuhh kwahyo Namungo walimkazia Raja
 
Back
Top Bottom