Simba atakutana na zamalek robo fainali

Kuna timu mbili uanongelea Simba na Mbumbumbu FC
 
Siyo lazima kila mara uonyeshe Umasikini wako mkubwa wa Akili. Ratiba zote za CAFCC Robo Fainali bado wala hazijapangwa.
 
Chief Godlove fake wa JF tatizo lako hua hukumbuki ulichokisema humu,akili yako hua inafanya kazi kwa muda uliopo tu,

Bora uendelee na zile nyuzi zako za kujifanya wewe ndio Chief na kutukana watu wote,ukijiaminisha kua watu wote ni masikini ila wewe tu ndio tajiri wa kwenye nyuzi za JF ila kuihalisia,nyuzi zako zinaonyesha umepigika haswa.
 
Ulivyo mjinga hujui hata kama Zamalek kawa wa kwanza kwenye Kundi lake na Simba pia kawa wa kwanza kwenye kundi lake hivyo hawawezi kukutana kwenye robo fainali.
Tatizo la kupenda mpira ukubwani hujui hata kanuni za mashindano mbalimbali.
 
Tafuta kazi ya kufanya
 
Halafu alivyo mjinga bado anabishana na watu humu,
Huyu dogo ndio anaongoza kwa kua na akili ya kijinga zaidi hapa JF

Zile tuzo za JF inabidi na yeye apewe tuzo ya ujinga.
 
Ulivyo mjinga hujui hata kama Zamalek kawa wa kwanza kwenye Kundi lake na Simba pia kawa wa kwanza kwenye kundi lake hivyo hawawezi kukutana kwenye robo fainali.
Tatizo la kupenda mpira ukubwani hujui hata kanuni za mashindano mbalimbali.
Mbona unajinyea baada ya kutajiwa zamalek 🤣🤣🤣
 
Tafuta kazi ya kufanya Cha ajabu unacomenti Kwa debe tupu🤣🤣🤣🤣🤣
Lazima tukuzuwie ili usije ukaambukiza na wengine huo udebe tupu wako,
Ni vizuri zaidi kukaa karibu na kichaa ili asije akaleta madhara muda wowote.
 
Tafuta kazi ya kufanya mzee kwangu unapoteza mda🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…