Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
- Thread starter
- #61
Yanga ndio uchafu GaniYanga out
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga ndio uchafu GaniYanga out
Issue ni kwamba kati SSC na Zamalek mbabe ni SSC. Sisi siyo UTOPWINYOBaada ya kumvua ubingwa ulibeba huo ubingwa
Jibu swali ubabe wako unamakombe mangapi ya Africa uliyomzidi zamalek 🤣🤣🤣Issue ni kwamba kati SSC na Zamalek mbabe ni SSC. Sisi siyo UTOPWINYO
Ungekua timamu ungepiga kimya ili usiendelee kudhihirisha ujinga wako zaidi.Kelele za nini onyesha hata milion 5 tu kwenye account Yako 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Jana nilipo kua nachek game wanayanga ndukiii🏃🏃🏃 yaan hawakuwepo kabisaa Wana bubujikwa Kama mwashambwa 😊☺️Huu ndio ukweli mchungu mbumbumbu fc wanaenda kuaga mashindano haya ya looser kama kawaida Yao Kwa aibu ya mwaka ambapo itakutana na kichapo Cha mbwa Koko kutoka Kwa wababe Hawa kutoka misri kinachosikitisha mbumbumbu wataaibika kwenye kombe la kina mama
Leta account Yako ya simu yenye angalau million 5 kama una akili timamu sio unapiga kelele 🤣🤣🤣🤣🤣Ungekua timamu ungepiga kimya ili usiendelee kudhihirisha ujinga wako zaidi.
Ud songo wanatoka lakini🤣🤣🤣Jana nilipo kua nachek game wanayanga ndukiii🏃🏃🏃 yaan hawakuwepo kabisaa Wana bubujikwa Kama mwashambwa 😊☺️
Zamalek kaongoza kundi lake hivyo ni impossible kukutana walio ongoza makundi labda mpaka huko semi final e.t.c
Kwa taarifa tuna anzia away tunamaliza kazi kwa mkapaa...hatoki mtuu😊😊☺️☺️
Simba to semi final 😀😊☺️
Moja..achia..moja achia...twende KMC COMPLEX NBC premier LigueUd songo wanatoka lakini🤣🤣🤣
Mbona kama umedata hata ulichoandika akielewekiMoja..achia..moja achia...twende KMC COMPLEX NBC premier Ligue
Sisi ndio tunawafundisha nyinyi jinsi ya kushinda michuano mikubwaa....mnyama Hana mpinzani.
Maneno mengi. Subiri official CAF selection. Punguza ramliHuu ndio ukweli mchungu mbumbumbu fc wanaenda kuaga mashindano haya ya looser kama kawaida Yao Kwa aibu ya mwaka ambapo itakutana na kichapo Cha mbwa Koko kutoka Kwa wababe Hawa kutoka misri kinachosikitisha mbumbumbu wataaibika kwenye kombe la kina mama
We hujui hata unachoongea na sheria za michuano hii ikoje. Rudi darasani Acha makasirikoHuu ndio ukweli mchungu mbumbumbu fc wanaenda kuaga mashindano haya ya looser kama kawaida Yao Kwa aibu ya mwaka ambapo itakutana na kichapo Cha mbwa Koko kutoka Kwa wababe Hawa kutoka misri kinachosikitisha mbumbumbu wataaibika kwenye kombe la kina mama
Kwahiyo zamalek huyo unae msifia nae ni mama?Huu ndio ukweli mchungu mbumbumbu fc wanaenda kuaga mashindano haya ya looser kama kawaida Yao Kwa aibu ya mwaka ambapo itakutana na kichapo Cha mbwa Koko kutoka Kwa wababe Hawa kutoka misri kinachosikitisha mbumbumbu wataaibika kwenye kombe la kina mama
Fukara naona umekimbia kelele kibao kumbe mfuko unavumbi jamii forum bhana🤣🤣🤣🤣Ungekua timamu ungepiga kimya ili usiendelee kudhihirisha ujinga wako zaidi.
Wewe ulisha dharaulika humu kwa ID's zako zote,Fukara naona umekimbia kelele kibao kumbe mfuko unavumbi jamii forum bhana🤣🤣🤣🤣
Kelele za nini gazeti lefu weka amount ya million 5 tu hahaha unajielezea sanaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wewe ulisha dharaulika humu kwa ID's zako zote,
Siwezi kua na akili ya kijinga kama yako eti nipost milioni 5
Umasikini wako ndio unakufanya uone kua hiyo amount ni kubwa sana,
Tafuta shughuli ya kufanya,itakupunguzia kutwa kuanzisha nyuzi zisizokua na kichwa wala miguu,fainali uzeeni,angalia usije ukawapa watu kazi ya kukulea uzeeni mwako,
Chief Godlove fake wa JF,Football,ChristopherPaul15 na hii sijui Gunner shooter.
Unajua robo fainali inapangwaje au umeropoka tu?Huu ndio ukweli mchungu mbumbumbu fc wanaenda kuaga mashindano haya ya looser kama kawaida Yao Kwa aibu ya mwaka ambapo itakutana na kichapo Cha mbwa Koko kutoka Kwa wababe Hawa kutoka misri kinachosikitisha mbumbumbu wataaibika kwenye kombe la kina mama