Simba atakutana na zamalek robo fainali

Hamna shabiki wa Arsenal asiyejua mpira kama wewe yani anayeongoza kundi acheze na anayeongoza kundi?
 
Zamalek alishatolewa na Simba tena kwao akiwa bingwa mtetezi .Kijana ulikuwa hujazaliwa au mama yako hajaolewa.
Waarabu wanawaonea nyie gongowazi.
Sasa mbona Mavi debe uliposikia Hilo jina🀣🀣🀣🀣
 
Upo sebuleni kwa shemeji yako kwenye sofa umejilaza,kutwa kuanzisha nyuzi za hovyo tu JF
Wewe ndio utafute kazi ya kufanya huenda ikakupunguzia kutuletea matapishi yako humu.
Tafuta kazi ya kufanya mzee utakufa na umasikini🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Haka katoto kwa vile hakana kazi ya kufanya zaidi ya kuanzisha nyuzi tu JF wala hakakuwaza hilo,
Kamekurupuka tu,kenyewe muhimu kwake ni kameanzisha tu uzi JF.
Tafuta kazi ya kufanya mzee hasira za umasikini zitakuuua hapo ulipo hata kula Yako tabu🀣🀣🀣🀣🀣
 
Chief Godlove fake wa JF
Kaanzishe uzi kwa hiyo ID yako nyingine ujifanye tajiri.

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Onyesha hata million 5 tu kwenye account Yako ya kwenye simu tu Ili tuendelee kupiga kelele sio napiga kelele na kapuku mnuka vumbi hapa 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Onyesha hata million 5 tu kwenye account Yako ya kwenye simu tu Ili tuendelee kupiga kelele sio napiga kelele na kapuku hapa 🀣🀣🀣🀣🀣
Chief Godlove fake wa JF umeshindwa kujificha kabisa,
Kwa akili zako ndogo nilijua tu lazima utaingia mkenge na kuithibitisha ID yako ya Chief fake.
 
Chief Godlove fake wa JF umeshindwa kujificha kabisa,
Kwa akili zako ndogo nilijua tu lazima utaingia mkenge na kuithibitisha ID yako ya Chief fake.
Kelele za nini onyesha hata milion 5 tu kwenye account Yako 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Wewe dogo tambua kuwa tumewahi kumvua ubingwa wakati wewe ukikuwa uko kwenye kiuno cha baba yako.

Simba hacheki na nyani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…