Simba atakutana na zamalek robo fainali

Jana nilipo kua nachek game wanayanga ndukiii🏃🏃🏃 yaan hawakuwepo kabisaa Wana bubujikwa Kama mwashambwa 😊☺️

Zamalek kaongoza kundi lake hivyo ni impossible kukutana walio ongoza makundi labda mpaka huko semi final e.t.c

Kwa taarifa tuna anzia away tunamaliza kazi kwa mkapaa...hatoki mtuu😊😊☺️☺️

Simba to semi final 😀😊☺️
 
Ud songo wanatoka lakini🤣🤣🤣
 
Maneno mengi. Subiri official CAF selection. Punguza ramli
 
Reactions: Tui
We hujui hata unachoongea na sheria za michuano hii ikoje. Rudi darasani Acha makasiriko
 
Kwahiyo zamalek huyo unae msifia nae ni mama?
 
Wanasimba sio kila nyuzi za kujibu.

Kama unajisikia sana kujibu jibu kwa kuweka picha ya kibu di kibu deeee kama hivi halafu unaleft.
 
Guswa achia.
SISI Ubaya Ubwela,Guswa hawajafuzu tumefurahi.
 
Fukara naona umekimbia kelele kibao kumbe mfuko unavumbi jamii forum bhana🤣🤣🤣🤣
Wewe ulisha dharaulika humu kwa ID's zako zote,

Siwezi kua na akili ya kijinga kama yako eti nipost milioni 5

Umasikini wako ndio unakufanya uone kua hiyo amount ni kubwa sana,

Tafuta shughuli ya kufanya,itakupunguzia kutwa kuanzisha nyuzi zisizokua na kichwa wala miguu,fainali uzeeni,angalia usije ukawapa watu kazi ya kukulea uzeeni mwako,
Chief Godlove fake wa JF,Football,ChristopherPaul15 na hii sijui Gunner shooter.
 
Kelele za nini gazeti lefu weka amount ya million 5 tu hahaha unajielezea sanaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Unajua robo fainali inapangwaje au umeropoka tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…