Exy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,146
- 5,520
😅😅😅 Benchika atateseka Sana na Hili, asipomrudisha chama na kuendelea kiburi na kutaka kumpoteza chama kwa makusudi tu..... Simba haichezi mpira inapiga mpira.. .Sahihi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😅😅 Benchika atateseka Sana na Hili, asipomrudisha chama na kuendelea kiburi na kutaka kumpoteza chama kwa makusudi tu..... Simba haichezi mpira inapiga mpira.. .Sahihi
Timu haiwezi kumtegemea Chama, ataondoka na pengo litazibika bila mwanya.😅😅😅🤣 Kumbe kabeleke sio forward asili!, Jana nilikwambia Ngoma akikutana na timu inayokabia mstari wa juu hana uwezo wowote na haonekani!. Hii itamghalim Benchika Kama atamtegea Ngoma ndio awe play maker wa timu.... Hana ubinifu na hawezi kudrive timu Kama kiungo....all in all pengo la chama litamtesema Benchika japo anajitahidi kumtoa kwenye mstari kwasababu zake bali sio kiwango...
Simba ina viongozi na mashabiki wa ajabu sana!Imagine mtu kama onana eti anasifiwa! Mbona ni mchezaji wa kawaida sana?!Watu walaini laini hawafai kwenye soka.Akipiga vishuti havina speed wala nguvu,ujinga mwingi sana kwetu tuliomkubaliUbunifu bado mdogo sana, timu ina-struggle sana kutengeneza nafasi. Aidha, back passes ni nyingi mno. Kwa ushindani wa mwaka huu kwenye ligi, wafanye kazi ya ziada kumaliza nafasi ya tatu
Upo we dogo?Source ya hiki ukisemacho?: trustmebro.com ?
Mimi nilipoambiwa Onana anatakiwa Ufaransa!! Bagoshaa!Simba ina viongozi na mashabiki wa ajabu sana!Imagine mtu kama onana eti anasifiwa! Mbona ni mchezaji wa kawaida sana?!Watu walaini laini hawafai kwenye soka.Akipiga vishuti havina speed wala nguvu,ujinga mwingi sana kwetu tuliomkubali
SawaTimu haiwezi kumtegemea Chama, ataondoka na pengo litazibika bila mwanya.
Shangaa na weweSimba ina viongozi na mashabiki wa ajabu sana!Imagine mtu kama onana eti anasifiwa! Mbona ni mchezaji wa kawaida sana?!Watu walaini laini hawafai kwenye soka.Akipiga vishuti havina speed wala nguvu,ujinga mwingi sana kwetu tuliomkubali
HakikaPasipo bahasha ligi kuu Simba inaweza kushika nafasi ya 5.