sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Kwa kupooza machungu mkoo juu😂😂😂Tunakumbushana tu kuwa rekodi ya 1977 ya goli sita bila bado haijavunjwa.
ile ya 5-0 timu zilishalipizana
Dadangu leo chakula cha wakubwa kipo kweli?😂😂😂🤣 ila ukumbuke ilikua 6 kwa sufuri.......
Kwani 5-0 ukuepo? Si hapo kwa mkpaMkono, hamsa, tano....mwaka 77 huenda ulikuwa kiunoni hujui dunia inazungukaje!!
Tuongee ya leo, mkono, hamsa, tano yaani mkono mkuu!!Kwani 5-0 ukuepo? Si hapo kwa mkpa
Ya ni sahhi mkuu ishu ngeni kwenu kisasiTuongee ya leo, mkono, hamsa, tano yaani mkono mkuu!!
Mkuu, mmekula hamsa! Kapumzike sasa.Ya ni sahhi mkuu ishu ngeni kwenu kisasi
Tunakumbushana tu kuwa rekodi ya 1977 ya goli sita bila bado haijavunjwa.
ile ya 5-0 timu zilishalipizana