Simba bado ni Giant kuliko Yanga msimu huu!

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Ukweli usemwe, Simba bado ni klabu yenye mafanikio Afrikla msimu huu kama siku zote kuifananisha na Yanga ni dharau.

Yanga ni kiteam kidogo sana, vi mafanikio walivyopata ni vidogo sana;
  1. Mabingwa mara 2 mfululizo wa NBC
  2. Wapo final CAFCCL
  3. Wapo pia fa na possibility kubeba tena ni kubwa
Ukiangalia unaona wazi ni upuuzi kuwaweka kundi moja na giant Simba hebu ona mafanikio yao makubwa msimu huu inatisha sanaa!
  1. Kufa kiume Cup (Mabingwa)
  2. Kombe la mwakarobo (mafanikio makubwa)
  3. Kombe la Inonga kumkaba Mayele (mafanikio makubwa kuwahi kutokea Afrika)
Wito wangu Yanga waache kujifananisha na Simba yenye ma star majina makubwa kama Kibu D, Kapama, Kyombo na mshambuliaji hatari John Bocco Papaa.

Nashauri waige mazuri hayo ya Simba.
 
Ukweli usemwe
Simba bado ni klabu yenye mafanikio africa msimu huu kama siku zote kuifananisha na yanga ni dharau

Yanga ni kiteam kidogo sana vi mafanikio walivyopata ni vidogo sana

1:mabingwa mara 2 mfululizo wa nbc

2:wapo final cafcc

3:wapo pia fa na possibility kubeba tena ni kubwa

Ukiangalia unaona wazi ni upuuzi kuwaweka kundi moja na giant simba hebu ona mafanikio yao makubwa msimu huu inatisha sanaa!

1:kufa kiume cup (mabingwa)

2:kombe la mwakarobo (mafanikio makubwa)

3:kombe la inonga kumkaba mayele (mafanikio makubwa kuwahi kutokea africa)

Wito wangu yanga waache kujifananisha na simba yenye ma star majina makubwa kama kibu d, kapama,kyombo na mshambuliaji hatari john bocco papaa
Nashauri waige mazuri hayo ya simba
Mwanzo nilikuwa na chuki na hii post mwishoni nimecheka sana very very brave man
 
Ukweli usemwe, Simba bado ni klabu yenye mafanikio Afrikla msimu huu kama siku zote kuifananisha na Yanga ni dharau.

Yanga ni kiteam kidogo sana, vi mafanikio walivyopata ni vidogo sana;
  1. Mabingwa mara 2 mfululizo wa NBC
  2. Wapo final CAFCCL
  3. Wapo pia fa na possibility kubeba tena ni kubwa
Ukiangalia unaona wazi ni upuuzi kuwaweka kundi moja na giant Simba hebu ona mafanikio yao makubwa msimu huu inatisha sanaa!
  1. Kufa kiume Cup (Mabingwa)
  2. Kombe la mwakarobo (mafanikio makubwa)
  3. Kombe la Inonga kumkaba mayele (mafanikio makubwa kuwahi kutokea Afrika)
Wito wangu Yanga waache kujifananisha na Simba yenye ma star majina makubwa kama Kibu D, Kapama, Kyombo na mshambuliaji hatari John Bocco Papaa.

Nashauri waige mazuri hayo ya Simba.
Aahhaaaaaa
 
Najaribu kuwaza. Hivi Yanga wangefika robo fainali CAF champions league na kushika nafasi ya pili kwenye ligi, tungesema msimu kwao umekuwa wa mafanikio au failure? Mwanayanga yeyote aje ajibu hili swali.
 
Ukijibu hili swali kwa usahihi ndo utajua yupi ni GIANT kati ya Simba na Yanga.

Yule mwamba alieanzisha uzi wa takwimu za mayele na kibu nasikia yuko mirembe
 
Ukweli usemwe, Simba bado ni klabu yenye mafanikio Afrikla msimu huu kama siku zote kuifananisha na Yanga ni dharau.

Yanga ni kiteam kidogo sana, vi mafanikio walivyopata ni vidogo sana;
  1. Mabingwa mara 2 mfululizo wa NBC
  2. Wapo final CAFCCL
  3. Wapo pia fa na possibility kubeba tena ni kubwa
Ukiangalia unaona wazi ni upuuzi kuwaweka kundi moja na giant Simba hebu ona mafanikio yao makubwa msimu huu inatisha sanaa!
  1. Kufa kiume Cup (Mabingwa)
  2. Kombe la mwakarobo (mafanikio makubwa)
  3. Kombe la Inonga kumkaba mayele (mafanikio makubwa kuwahi kutokea Afrika)
Wito wangu Yanga waache kujifananisha na Simba yenye ma star majina makubwa kama Kibu D, Kapama, Kyombo na mshambuliaji hatari John Bocco Papaa.

Nashauri waige mazuri hayo ya Simba.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]...! Ingekuwa ndio hiyo imeipiga Marumo jana S.A na kutinga fainali,kuanzia hiyo jana mpaka muda huu miji ingekuwa na kelele na mipikipiki fujo mji mzima. Na hapa pangejaa tred zao tu. Lakini ona wenzetu wamefurahia ile jana tu,miji tulivu kabisa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aseee nasikia wanalo lingine la zomea zomea cup hili wali pewa na mshabiki kule Lindi
 
Back
Top Bottom