Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Ukweli usemwe, Simba bado ni klabu yenye mafanikio Afrikla msimu huu kama siku zote kuifananisha na Yanga ni dharau.
Yanga ni kiteam kidogo sana, vi mafanikio walivyopata ni vidogo sana;
Nashauri waige mazuri hayo ya Simba.
Yanga ni kiteam kidogo sana, vi mafanikio walivyopata ni vidogo sana;
- Mabingwa mara 2 mfululizo wa NBC
- Wapo final CAFCCL
- Wapo pia fa na possibility kubeba tena ni kubwa
- Kufa kiume Cup (Mabingwa)
- Kombe la mwakarobo (mafanikio makubwa)
- Kombe la Inonga kumkaba Mayele (mafanikio makubwa kuwahi kutokea Afrika)
Nashauri waige mazuri hayo ya Simba.