Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Naona Ndala wamezidi. Simba SC hawana kelele!simba sc wana kelele sana ngoja watulizwe mchangani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona Ndala wamezidi. Simba SC hawana kelele!simba sc wana kelele sana ngoja watulizwe mchangani
mkuu nimeomba matokeo tafadhali bhanayanga utawaona tu kwa rangi zao
Tutatumiaje Tennis mkuu!Wewe ni Kocha?
Mbona Gongowazi kiliponasia kimoko hamkutumia tennis? Shubamit
0-0mkuu nimeomba matokeo tafadhali bhana
Mtakosa sana....Kichuya amekosa Dakika ya 48
Hii barua kutoka fifa wameiona?Mwakyembe na Majaliwa ndani nadhani wanaangalia mpira
Naona Ndala wamezidi. Simba SC hawana kelele!
kaandika malinziHii barua kutoka fifa wameiona?![]()
Ipo hapa msipate shidaTutatumiaje Tennis mkuu!
Sisi ni wapambanaji Uwanjani?
Nasikia Barua yenu kutoka FIFA Imewasili mchana huu..Ingia mitandaoni uione.